meet Friends!!!! kutana na Marafiki

Saturday, February 14, 2009

HARAKATI ZA WAJASILIA MALI WA DODOMA.

Pichani ni wakazi wa Dodoma wakihangaikia ridhiki yao ya kilasiku.










Picha na Jayson.

Wednesday, February 11, 2009

MATUKIO




MAPOKEZI YA 2nd CLUSTER.


Amahakika wanachuo waliochaguliwa kujiunga na second cluster walikuwa na furah tele y kuaanza maisha ya chuo ambayo kwa miezi mingi walikuwa wanayajengea picha ni jinsi gani wataishi kwakulijua hilo baadhi ya wenyeji wao walifika eneo la chimwaga na kaaa screensever tayari kwa kuwapa ushauri wa hapa na pale kama inavyoonekana pichani.


Na, Jayon

NEWS!!! HABARI!!!


UDOM KUWAWEZESHA 2nd CLUSTER.


Kwa busara za serikali ya wanafunzi ya chuo kikuu cha Dodoma , uongozi umeamua kuwakopesha wanafunzi waliofika kuanza mwaka wa masomo mwezi Januari kiasi cha shilingi miamoja elfu ambapo kiasi hicho cha pesa kiwawezeshe wanafunzi hao kujikimu kwa mahitaji yao muhimu wakati wakiendelea kusubiri pesa yao kutoka bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa elimu ya juu HESLB.

Amahakika hilo nijambo la busara.

Na; jayson

Michezo hatari

Michezo hatari
by da same trainer

masela wa malangali boyz

masela wa malangali boyz

eliuze baraka na mbewa jackson

eliuze baraka na mbewa jackson
just a pose! mh! you lyk it?

jayson

jayson
Nyerere SQUARE!

Johnnny&rickross

Johnnny&rickross
pande za matema beach!

myenzi & somela

myenzi & somela
wadau wa Tovuti hii

me and my friend

me and my friend
we were having a walk at "one way" street at Dodoma

nikiwa katika game.

nikiwa katika game.
trained - by Yesaya kin'ghomela

my friends

my friends
seteve & bonnie

eliuze baraka

eliuze baraka
Nyerere square.